Ezekiel 27:28-30


28 aNchi za pwani zitatetemeka
wakati mabaharia wako watakapopiga kelele.

29 bWote wapigao makasia
wataacha meli zao,
mabaharia wote na wanamaji wote
watasimama pwani.

30 cWatapaza sauti zao
na kulia sana kwa ajili yako;
watajitupia mavumbi juu ya vichwa vyao
na kujivingirisha kwenye majivu.
Copyright information for SwhKC